UKAWA waikataa hati ya muungano.


Umoja wa katiba ya wananchi-UKAWA- ambao unawaunganisha wabunge wa upinzani ndani ya bunge la katiba wamekutana Zanzibar na kutoa tamko la kuikataa hati ya muungano kuwa ni batili na hawana mpango wa kurudi bungeni hadi kieleweke.

Post a Comment

Previous Post Next Post