Huyu
msichana aliwahi kutokea kwenye video ya mmoja kati ya wakali wa
Nigeria aitwae Orezi ambae aliimba wimbo unaitwa Rihanna ambapo video
ilifanyika Afrika Kusini na unaweza kuitazama chini mwisho kwenye hii
post.
Unavyoona…. kafanana na Rihanna kwa asilimia ngapi?
إرسال تعليق