'Believe Me' Ni wimbo mpya wa Lil Wayne amshirikisha Drake Usikilize hapa

Lil Wayne ameanchia wimbo wake mpya ambao hapo awali alitoa kionjo chake, wimbo aliouita ‘Believe Me’.
Weezy amemshirikisha Drake kwenye wimbo huo ambao umetayarishwa na Boi-1da na Vinylz na utakuwa miongoni mwa nyimbo zitakazoikamilisha ‘Tha Carter V’.
Usikilize hapa:

Post a Comment

Previous Post Next Post