Lil Wayne ameanchia wimbo wake mpya ambao hapo awali alitoa kionjo chake, wimbo aliouita ‘Believe Me’.
Weezy amemshirikisha Drake kwenye wimbo huo ambao umetayarishwa na
Boi-1da na Vinylz na utakuwa miongoni mwa nyimbo zitakazoikamilisha ‘Tha
Carter V’.
Usikilize hapa:
إرسال تعليق