Brad Pitt na Angelina Jolie kuigiza filamu pamoja tangu Mr. And Mrs. Smith (2005)
Hisia0
Brad Pitt na Angelina Jolie walitisha sana kweye filamu ya Mr.
And Mrs. Smith ya mwaka 2005 na sasa wanarejea tena. Wapenzi hao
wanadaiwa kupanga kufanya tena filamu ya pamoja.
Post a Comment