Brad Pitt na Angelina Jolie kuigiza filamu pamoja tangu Mr. And Mrs. Smith (2005)

UPI Pictures of the Year 2012 - Entertainment
Brad Pitt na Angelina Jolie walitisha sana kweye filamu ya Mr. And Mrs. Smith ya mwaka 2005 na sasa wanarejea tena. Wapenzi hao wanadaiwa kupanga kufanya tena filamu ya pamoja.
Filamu hiyo itafanyika barani Ulaya

Post a Comment

أحدث أقدم