Wasanii maarufu na wakongwe katika tasnia ya filamu duniani wa
nchini marekani HOLLYWOOD, wanaotengeneza kundi la Expendable 3, jana
mchana wamebeba vipeperushi vinaowataka wahasi walioteka nyara wanafunzi
wa kike nchini Nigeria kuwarudisha huru watoto hao “BRING BACK OUR
GIRLS”. Kundi hili likiongozwa na Sylvester Stallon, Wesley snipes, Mel
Gibson wamekemea vikali swala hilo la kutekwa kwa watoto hao nchini
Nigeria..
Post a Comment