Mashine ya kwanza ya
kutengenezea ‘Bangi’ imefungwa rasmi katika ‘DISPENSARY’ inayojulikana
kama ‘BC PAIN SOCIETY’ ambayo inasemekana inatoa bangi za aina mbali
mbali kama “Purple Kush, Bubba Kush, Sativa and Indica Strains of
Medical Marijuana”.
Video ambayo imewekwa kwenye mtandao wa Youtube inaonyesha kuwa
mashine kama hiyo imewekwa katika dispensary nyingine huko mjini
COLORADO mwezi uliopita ambayo haiwezi kumtambua mtu yoyote anaenunua
ila unachotakiwa ni kuweka pesa inayotakiwa na kujichagulia flava yako
unayotaka kwa burudani yako.
‘Chuck Varabioff of the BC Pain Society’ aliwambia ‘Canada’s Global
News’ kuwa utambuaji wa watt hao itakuwa inachukuliwa na wafanyakazi
hao na kuweka safe bila tatizo lolote. hii ni katakana na ‘Bangi’
kuonyesha kusaidia kea kiasi kikubwa kea watt ambao wanaumwa na magonjwa
yanayofabishwa na maumivu makali sana. maendeleo ya ununuaji wa bidhaa
hiyo umeripotiwa kuwa unaendelea vizuri sana na wanunuzi wamekua
wakiongezeka siku baada ya siku.
“Our regular members, they already know what they want, they can walk
up straight up to the vending machine and get in and out quickly,”
Varabioff told Global News
Post a Comment