Kikundi cha watu mjini Atlanta Georgia, USA ambao walianzisha kanisa
linalomsujudu mwanadada Beyonce wameanza misa zao kusali kumsujudu na
kumuabudu Queen Bey aka Mrs. carter.
“The National Church of Bey” wanakutana ka Jumapili kusali na kuimba
nyimbo za mwimbaji huyo alietokea kwenye kundi la “Destiny Child”.
Source:- christiantoday
Post a Comment