Crazy in Love? Atlanta church “yamsujudu” Beyoncé

20140503-163318.jpg
Kikundi cha watu mjini Atlanta Georgia, USA ambao walianzisha kanisa linalomsujudu mwanadada Beyonce wameanza misa zao kusali kumsujudu na kumuabudu Queen Bey aka Mrs. carter.
“The National Church of Bey” wanakutana ka Jumapili kusali na kuimba nyimbo za mwimbaji huyo alietokea kwenye kundi la “Destiny Child”.
Source:- christiantoday

Post a Comment

أحدث أقدم