WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA WIKI YA ELIMU DODOMA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwauliza baadhi ya wanafunzi waliofika kwenye uzinduzi wa wiki ya elimu uliofanyika katika uwanja wa jamhuri ambao unafaika kitaifa mkoani Dodoma, kama wana uelewa kuhusu neno Big results now akiwa na maana ya matokeo makubwa sasa kielimu.
 Katibu wa Chama cha walimu Dodoma Gerge Palapala akimfafanulia jambo Waziri Mkuu Mzengo Pinda alipotembelea Banda la chama hicho lililopo katika viwanja vya Jamhuri kwa ajili ya maonyesho ya elimu yanayofanyika kwa wiki moja mjini Humo.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia Tufe lenye mfano wa Ramani ya Dunia ambalo ni maarumu kwa kufundishia wanafunzi wenye ulemavu wa kuona wanaosoma katika shule Iliyopo Bwigili Wilayani chamwino, alipokuwa akikagua mabanda ya maonyesho kwenye uzinduzi wa wiki ya elimu inayofanyika kitaifa Dodoma.
  Mratibu wa taifa wa masomo ya Sayansi, Hisabati na Tehama   DKT Elia Kibga akimufafanulia jambo Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipotembelea Banda la Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wakati wa uzinduzi wa wiki ya Elimu inayofanyika kiataifa Dodoma
 
 Mwanafunzi Mandela Mazengo (9) mwenye ulemavu wa macho akimuandikia neno kwa kutumia kifaa maalum kinachoandika maandishi yanayoweza kusomwa na wasioona kwa njia ya vidole wakati alipotembelea Banda la shule ya wasioona ya Bwigili Iliyop Chamwino Dodoma, Pinda alifika kuzindua wiki ya elimu iliyoanza Aprl 3,2014 yanayofanyika kitaifa mkoani humo
Wanafunzi wakiwa katika jukwaa la uwanja wa jamhuri  wakifuatilia matukio mbali mbali wakati wa uzinduzi wa wiki ya Elimu  uliofanyika Dodoma ambapo maonyosho hayo yanafanyikia kitaifa. Picha na John Banda

Post a Comment

Previous Post Next Post