DIAMOND PLATNUMZ ATOA SHUKURANI ZAKE KWA WADAU WOTE BAADA YA KUPOKEA TUZO 7 #KTMA2014. .


Kupitia ukurasa wake wa Facebook Chibu Dangote aka Diamond Platnumz aliye vunja record jana usiku kwa kushinda tuzo saba kwenye tuzo za Kili Music Awards 2014 ameandika ujumbe ufuatao wa shukurani kwa wadau wote:
Haya sasa twende kazi tumpigieni kura ili aweze kushinda kweye MAMA. Kupiga kura yako bonyeza link hizo za rangi ya blue.
Categories Nominated For:
Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)

Vote by clicking on the link below and select the highlighted name above:

Best Collaboration:
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)

Vote by clicking on the link below and select the highlighted name above:

Voting has started and it will last until midnight 4 June 2014 please click on the links below to vote:

For Diamond to Win Best Male click: 
http://pixelperfection.co.za/2014-mama/vote-best-male.html and then select Diamond on the drop List.

For Diamond to Win Best Collaboration click:
http://pixelperfection.co.za/2014-mama/vote-best-collaboration.html and then select Diamond feat Davido- ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria) on the drop down list.

VOTE NOW AND SPREAD THE WORD.
 Na hivi ndivyo furaha yake ilikuwa after the awards watu wakaamua kupop

Post a Comment

أحدث أقدم