Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,
Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho
katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya
kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja
wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi, waliompokea kwenye uwanja wa
Ndege wa mjini Bukoba leo jioni. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya kabila ya
Wahaya baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni
hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla
itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera. Picha na OMR
إرسال تعليق