
Halima
Yahya ‘Davina’ amechefuliwa vibaya na fundi wa nguo kwa kumcheleweshea
nguo ya sare na kumfanya ashindwe kuivaa kwenye shughuli ya msanii
mwenzake, Vanitha Omari.
Akipiga
stori na mwandishi wetu katika shughuli hiyo iliyofanyika mwishoni mwa
wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mawela Sinza, jijini Dar, Davina alisema
amelazimika kuvaa nguo ya tofauti kutokana na fundi kushindwa kumshonea
nguo yake kama alivyotaka.
alisema Davina aliyetinga ukumbini na gauni nyeusi.
WAGENI mbalimbali waalikwa wamejikuta wakiangua vilio upya baada ya kumkumbuka aliyekuwa mwigizaji, Zuhura Maftah ‘Melisa’.
Tukio
lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mawela, Sinza
jijini Dar wakati dada wa marehemu (Haris) alipokwenda kutoa zawadi kwa
niaba ya marehemu kwenye kitchen party ya mwigizaji Vanitha Omari.
alisema Haris na kusababisha biharusi mtarajiwa aangue kilio pamoja na baadhi ya waalikwa.
Melisa alifariki dunia mwaka jana baada ya kuugua na kulazwa kwa muda mfupi.
Post a Comment