![]() |
| Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda. |
Mbovumbovu za staa! Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha
jinsi alivyo hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje
bila kujali watu waliokuwa wakimshangaa.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea Alhamisi iliyopita kwenye Ukumbi
wa Mawela uliopo Sinza, Dar ambako kulikuwa na kitchen party ya
mwigizaji, Vanita Omary ambapo Isabela aliwashangaza watu baada ya
kuacha nyeti nje.

Post a Comment