
Labda
ingekua ya msanii wa Tanzania, Kenya, Uganda au Rwanda hii video
ingekua imeshafungiwa kwenye nchi anayotoka kama ambavyo tumeshuhudia
kufungiwa kwa video zisizopungua kumi kutokana na kudaiwa kuvunja
maadili.
Kwa mujibu wa ripoti iliyoifikia millardayo.com nchi ambayo imeongoza
kwa kufungia video Afrika Mashariki ni Rwanda ikifuatiwa na Kenya kisha
Tanzania.
Hii video ya leo ni ya msanii wa Nigeria anaitwa Timaya akiwa na
Mjamaica Sean Paul kwenye remix ya bum bum ambayo imepokea maoni tofauti
kwenye mitandao mbalimbali baada ya hawa warembo kuonekana ndani yake
walivyovalia.



إرسال تعليق