Ingawa
kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Master
Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Clouds Fm imei-amplify
kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo fleva,hapa utamsikia
Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa Master Jay.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment