![]() |
Rich Mavoko baada ya kutua jijini Bujumbura |
Rich Mavoko yupo nchini Burundi ambako amepata dili na kampuni
iitwayo Ikoh ya nchini humo ambayo itahusika na yeye kuwanyanyua wasanii
wa huko. Mavoko amealikwa kuwapa moyo wasanii wa Burundi na pia katika
mkataba huo atatumbuiza kwenye tamasha kubwa litakalofanyila December
mwaka huu.

إرسال تعليق