The
Dark Knight inarudi tena kwa mpenzi wa filamu za Bat Man itakuwa habari
njema kwako kwani asubuhi ya tarehe 13/May/2014 muongozaji wa filamu za
Bat Man ‘Zack Snyder’ ametoa picha za muonkano wa vazi la Bat Man
atakalo vaa mwigizaji Ben Affleck akiwa pembeni mwa gari atalotumia
kwenye filamu hio maarufu kama Batmobile.
Fahamu muendelezo wa filamu ya Bat Man itaitwa “Man of Steel” na
mabadiliko ndio kama ulivyoona kuwa nguo na gari ni tofauti na
aliyotumia Christian Bale.



Post a Comment