Hili ndio Vazi Na Gari Jipya Atakalotumia Ben Affleck Kwenye Filamu Mpya Ya Bat Man - Pichaa

 bb 3The Dark Knight inarudi tena kwa mpenzi wa filamu za Bat Man itakuwa habari njema kwako kwani asubuhi ya tarehe 13/May/2014 muongozaji wa filamu za Bat Man ‘Zack Snyder’ ametoa picha za muonkano wa vazi la Bat Man atakalo vaa mwigizaji Ben Affleck akiwa pembeni mwa gari atalotumia kwenye filamu hio maarufu kama Batmobile.
Fahamu muendelezo wa filamu ya Bat Man itaitwa “Man of Steel” na mabadiliko ndio kama ulivyoona kuwa nguo na gari ni tofauti na aliyotumia Christian Bale.
bbbb 4
bb 2   bb 5

 

Post a Comment

أحدث أقدم