Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo.
Shabiki wake aitwaye Malia Songo aliamua kumuuliza kupitia Twitter kwanini hakuwepo kuchukua tuzo zake.
Shabiki wake aitwaye Malia Songo aliamua kumuuliza kupitia Twitter kwanini hakuwepo kuchukua tuzo zake.
@JideJaydee dada uwe Basi unakuja kwenye tuzo mara nyingi unawakilishwa wapiga kura huwa tunaham ya Nakuona.
— malia (@maliasongo1) May 5, 2014
Jaydee alijibu:
@maliasongo1 kwani zilishafanyika?
— Lady JayDee (@JideJaydee) May 6, 2014
إرسال تعليق