Wasanii mbalimbali wakiomboleza msiba wa babaake Mtitu
Siku ya kuaga mwili
|
Baadhi ya wasanii wa filamu Bongo wameshindwa kuonesha utu ipasavyo
kwa msanii mwenzao, William Mtitu ambaye hivi karibuni alifiwa na baba
yake mzazi.
Baba wa msanii huyo, John Mtitu alifariki dunia baada ya kusumbuliwa na uvimbe kichwani na alipofanyiwa upasuaji, hakuweza kuzinduka.
Baba wa msanii huyo, John Mtitu alifariki dunia baada ya kusumbuliwa na uvimbe kichwani na alipofanyiwa upasuaji, hakuweza kuzinduka.
Katika hali ya kushangaza, wasanii waliofika nyumbani kwa msanii
huyo, Mburahati jijini Dar walionesha SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA
Post a Comment