HIVI NDIVYO WASANII WALIVYOMFANYIA VIBAYA MTITU MSIBANI

Wasanii mbalimbali wakiomboleza msiba wa babaake Mtitu
Siku ya kuaga mwili
Baadhi ya wasanii wa filamu Bongo wameshindwa kuonesha utu ipasavyo kwa msanii mwenzao, William Mtitu ambaye hivi karibuni alifiwa na baba yake mzazi.
Baba wa msanii huyo, John Mtitu alifariki dunia baada ya kusumbuliwa na uvimbe kichwani na alipofanyiwa upasuaji, hakuweza kuzinduka.

Katika hali ya kushangaza, wasanii waliofika nyumbani kwa msanii huyo, Mburahati jijini Dar walionesha SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA

Post a Comment

أحدث أقدم