Jarida maarufu la FHM, hivi karibuni limetoa orodha ya wanawake linalowaona kuwa Sexiest Women In The World. Unaweza kuiona orodha kamili hapa.
Katika orodha hiyo, muigizaji wa filamu, Jennifer Lawrence ndiye namba
moja. Jennifer au J.Law kama wanavyomuita mashabiki wake, hivi karibuni
alichuana vikali katika kuwania tuzo ya Oscar na Lupita Nyong’o katika kipengele cha Best Supporting Female Actress. Kama uliona filamu ya American Hustle utakuwa uliona uigizaji wake.
Kwa miaka miwili au mitatu mfululizo Jennifer amekuwa akianguka
katika Red Carpet kutokana na kujitega na magauni anayokuwa ameyavaa.
إرسال تعليق