MSANII
wa Bongo Fleva,Khadija Shaban’ keisha’ wiki iliyopita alijifungua mtoto
wa kiume katika hospitali ya Mkombozi Moroco, Jijini Dar es salaam, na
huyo ni mtoto wa pili kwa Keisha na mume wake anayeitwa Jamal, mtoto wao
wa kwanza walimwita Jam Kei (yani Jam ni Jamal jina la dingi na Kei ni
Keisha jina la mama.Sasa
Keisha amefunguka sababu ya kujifungu fasta fasta ingawa vigezo na masharti
ya uzazi wa mpango vimezingatiwa kwani watoto hao wamepishana miaka
mitatu.Aidha
keisha amefunguka sababu ya kuzaa hivyo ni kwasababu amezaliwa peke
yake, ameamua kuiongeza familia yao, lakini amesema sasa hivi atapumzika
hata miaka saba bila kubeba ujauzito.
Keisha afunguka kuhusu Kujifungu Haraka haraka mtoto wa pili na Jina lake - Soma/Msikilize Hapa
Hisia
0
إرسال تعليق