Mlezi
wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye
thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha
kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia
ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo
wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye
ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika
katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam.Picha na Chris
Mfinanga.
MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO) .
Hisia
0
إرسال تعليق