MIL. 7 ZATUMIKA MSIBA WA KUAMBIANA - BONGO MOVIE

Raisi wa Bongo Muvi Steve Nyerere akisoma wasifu wa msanii mwenzao aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa Bongo Muvi, Adam Phillip Kuambiana.
Memba wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamepambana vilivyo na kufanikiwa kuchangishana Sh. milioni 7 zilizofanikisha shughuli za msiba wa aliyekuwa mwigizaji, prodyuza na mwandishi wa skripti za sinema za Kibongo, Adam Philip Kuambiana.

Chanzo makini kutoka ndani ya klabu hiyo kilieleza kuwa, SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA

Post a Comment

أحدث أقدم