Msanii wa Deja Vu Music na Endless Fame Films, Mirror amefanya
collabo na mshindi wa mwaka huu wa KTMA wa wimbo bora wa mashairi wa
Afrika Mashariki, Jose Chameleone. Wimbo huo umerekodiwa katika studio
za AM Records chini ya producer Manecky. Tazama kipande cha video
kinachowaonesha wawili hao wakiwa studio.
إرسال تعليق