MSIKILIZE ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA JOSEPH WARIOBA ALIPOONGEA NA ITV KATIKA DAKIKA 45

Rais Kikwete akimtunuku Nishani,  Daraja la Kwanza,  ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014. (picha, maelezo: Freddy Maro, IKULU)

Post a Comment

Previous Post Next Post