Kama walivyo wananchi
wa nchini Nigeria na dunia nzima kutokana na utekaji wa wasichana
uliofanyika nchini humo na waasi wa kiislam wa Boko Haram. Msanii ICE
PRINCE ametoa nyimbo kwa ajili ya issue hiyo iitwayo ‘Tears For Naija’
Ambayo inetengenezwa na producer ‘Samny Gyang’
Check it out!
Post a Comment