Baada ya mapacha wa P-Square kumaliza ‘tofauti’ zao siku chache
zilizopita na kutangaza ujio wa album yao mpya, Peter Okoye amesema
sasa wanashoot video ya single yao ya sasa ‘Testimony’.
Kupitia Twitter Peter alikiri kutokea kwa ugomvi baina yao kama
ambavyo hutokea kwa binadamu yeyote, na kuongeza kuwa sasa hali ni
shwari wamerejea kazini na wameanza kushoot video yao mpya.
Hizi ni tweet za Peter Okoye:
“@PeterPsquare: Back to work…. On set for Testimony video shoot and Phyno ft P2 OSet #tastethemoney #Oset”
“@PeterPsquare: We quarrel and argue just as u all do d same with ur siblings and families. Psquare is no exception”.
“@PeterPsquare: We r also human, we ve settled our
differences. And it has made us stronger! Thank u all for ur support and
prayers”
إرسال تعليق