
Series hii ambayo ilikua na msisimko mkubwa sana wa actions za muogizaji wa zamani ‘Kiefer Sunderland’ ambae ameshafanya filamu nyingine nyingi tu kama ‘Flatliners’, ‘Picking Up Pierces’, ‘Ground Control’ na nyingine nyingi, alijipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na series 24′ zaidi ya movie alizowahi kutengeneza. Mwaka huu wa 2014, kituo cha utengenezaji wa filamu za television FOX wameachia picha kadhaa kuonyesha baadhi ya sehemu ambazo zimetumika katika utengenezaji wa series hiyo ambayo kwa sasaninajulikana kama ’24: Live Another Day’ ambayo itaanza kuonyeshwa hivi karibuni.
1. UnOfficial CIA Headquarters.

2. The CIA LOGO.

3.The CIA BullPen

4. Going Industrial

5. Chloe Hacker Hub

6. President Private Office

7. The State Room

8. Chief Of Staff Room

إرسال تعليق