Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti
la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye
shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao
waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.
Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona Mwisho na Kama mwaka
wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli sipendi……..He is happily
married and I respect him!!!!ati I met him last week n we exchanged
numbers that’s a big big lie jamani……Am happy and Single….Am loving my
life”
Post a Comment