STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA MBEYA

Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichotoa sare ya 0-0 na Malawi jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya katika mchezo wa kirafiki.
Mshambuliaji wa Taifa, John Bocco akimtoka beki wa Malawi
Kiungo wa Stars, Frank Domayo akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya mechi jana
Kiungo wa Stars, Amri Kiemba akijiandaa kupiga mpira mbele ya mchezaji wa Malawi 

Post a Comment

Previous Post Next Post