Wiki chache zilizopita mitandao mbalimbali iliripoti kua msanii
kutoka Kenya ‘Victoria Kimani’ anatoka kimapenzi na Diamond Platnumz na
baadae ikagundulika kuwa ukaribu waliokuwa nao unatokana na Victoria
kumuomba Diamond wafanye kolabo pamoja. Habari mpya ni kwamba siku
cheche zijazo wimbo huo utaachiwa.
katika wimbo huo utaojulikana kama ‘Prokoto’’ Victoria
amewashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz. Endelea kutembelea
website hii ili uwe mtu wa kwanza kusikiliza na kudownload wimbo huo
hapa.
إرسال تعليق