Serikali sikivu ya chama cha mapinduzi imetangaza kupitia waziri Lukuvi
kutenga zaidi ya bilion 39 za kuboresha daftari la wapiga kura.
Mh. Lukuvi Ameeleza
kuwa daftari lililopo lina wapiga kura milion 20 waliojiandikisha na
pia zaidi ya wapiga kura milioni 5.8 wapya wataandikishwa ili waweze
kushiriki upigaji kura 2015.
Aidha ametangaza awamu mbili za uandikishwaji huo kama ifuatavyo:
Aidha ametangaza awamu mbili za uandikishwaji huo kama ifuatavyo:
Awamu ya kwanza itaanza Septemba na kumalizika Desemba mwaka huu.
Awamu ya pili itaanza april na kumalizika August mwaka kesho.
Source; The Citizen newz.
Post a Comment