Msanii Davido wa nchini Nigeria ambae ni star wa muziki kama Aye,
Skelewu na mingine mingi, Leo amefanya mahafari ya kuhitimu katika chuo
cha “BBCOCK UNIVERSITY” kilichopo ‘Ilisan Remo Ogun state’ nchini humo
akiwa ni miongoni mwa wahitimu 500 katika chuo hicho. Davido katunukiwa
degree ya udaktari katika chuo hicho.
Baba mzazi wa msanii huyo alikuwa nimiongoni mwa waliohudhulia sherehe hizo za maafari katika chuo hicho.

Ilisan Remo, Ogun State
Ilisan Remo, Ogun State
Post a Comment