
Baada ya kukutana na maharusi wakiwa katika muendelezo wa kupata picha
za ufukweni wakiwa ndani ya nguo za harusi, mwanadada mchezaji na bingwa
wa tennis duniani Serena Williams aliamua kuingia kwenye historia ya
wapendanao hao baada ya kujiunga nao na kupata picha matata akiwa ndani
ya kijivazi cha ufukweni... Oops you just gotta love Serena Williams!
Shuka chini kucheki picha hizo chini hapo..
Shuka chini kucheki picha hizo chini hapo..



Post a Comment