
Jana jumatatu mwanamuziki anaye-make headline kwenye vyombo vya habari daily kutokana na kutoishiwa matukio Rihanna amenyakuwa TUZO ya mitindo kwenye kipengele cha Fashion risks taker huku akitengeneza kichwa kingine cha habari kwa kupanda jukwaani na kivazi kinachoonyesha kila kitu mwilini kwake!
Inawezekana alitaka kudhihirisha kuwa yeye kweli ni Risks taker linapokuja swala la fashion lol! Shuka nayo kuona picha ya tukio zima.










Post a Comment