Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Hamad Yussuf Masauni
(kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi
jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmour Mohammed Mussa,alipofika kuzungumza
masuala ya jimbo lao katika viwanja vya Baraza Chukwani wakiwa nje ya
ukumbi wa mkutano ili kupanga mikakati ya Jimbo lao katika miradi ya
maendeleo ya jimbo ikizingatiwa Jimbo likiwa na Mradi Mkubwa wa
Usambazaji wa Maji Safi na Salama kwa Wananchi wao.
إرسال تعليق