Hizi ndio Picha 18 Za Mazishi Ya Mama Mzazi Wa Mhe. Zitto Kabwe na Ratiba ya Mambo yalivyokuwa 2/6/2014.
Hisia0
June 2 2014 mchana majira ya saa tisa Kigoma Tanzania yamefanyika
mazishi ya Bi.Shida Salum Mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe
Zitto Kabwe aliyefariki Tarehe 1 May 2014 jijini Dar es salaam.
إرسال تعليق