
Mwimbaji wa Marekani ‘Ray J’ ambae ni msogo wa muimbaji na muigizaji
‘Brandy Norwood’ amekamatwa na polisi mjini ‘Beverly Hills’ kwa tuhuma
za kuzozana katika baa ya hoteli ya ‘Beverly Wilshire’ nchini Marekani,
msanii huyo alikamatwa na polisi jana baada ya kuzua ugomvi katika baa
hiyo. Polisi wa Beverly Hills waliitwa baada ya kutokea malalamiko kuwa
msanii huyo alimshika sehemu isiyotakiwa na kumdhalilisha mwanamke mmoja
bila idhini yake kiasi cha mpaka kupigiwa simu polisi.
Wakati akitoka nje ya hoteli hiyo inadaiwa alipandwa na hasira na kugoma kuondoka. Mtafaruku huo ulizidi kuwa mkubwa na polisi akalazimika kumpiga pingu.

Inadaiwa Ray J alipiga teke kioo cha gari na Soma Zaidi Hapa
Post a Comment