JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
|  |  |  | 
| 
Simu:  +255-22-2112035/40 | 
          S.L.P.  9223 | |
| 
Nukushi:  +255-2122617/2120486 
Barua Pepe:  ps@moha.go.tz | 
       Dar es Salaam | 
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAANZISHA BLOG 
Katibu
 Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anapenda kuwafahamisha Umma 
kwamba wizara yake imeanzisha ‘BLOG’ Mtandao wa Kijamii utakaotambulika 
kwa anuani; www.usalamawetu.blogspot.com kama njia mojawapo ya kuwasiliana na Umma juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na watanzania.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali 
7 Juni 2014.
Haya hongereni sana.
ReplyDeletePost a Comment