TANGAZO KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Simu:  +255-22-2112035/40
          S.L.P.  9223
Nukushi:  +255-2122617/2120486
Barua Pepe:  ps@moha.go.tz
       Dar es Salaam
       
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAANZISHA BLOG
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anapenda kuwafahamisha Umma kwamba wizara yake imeanzisha ‘BLOG’ Mtandao wa Kijamii utakaotambulika kwa anuani; www.usalamawetu.blogspot.com kama njia mojawapo ya kuwasiliana na Umma juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na watanzania.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
7 Juni 2014.

1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post