الصفحة الرئيسيةENTERTAINMENT TWANGA PEPETA WAKIFANYA VITU VYAO KWENYE FAINALI ZA MISS TABATA 2014 Hisia يونيو 06, 2014 0 Twanga Pepeta wakilitawala jukwaa la Da' West usiku huu. Madansa wa Twanga wakionyesha umahiri wao stejini. Kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akionyesha manjonjo yake. Luiza Mbutu na wenzake wakishusha burudani kwa watazamaji ndani ya Da' West. Wananchi wakifuatilia burudani zinazoendelea kutolewa na Twanga Pepeta. (PICHA NA GABRIEL NG'OSHA / GPL)
إرسال تعليق