Baada ya Amber Rose kudai talaka kwa mumewe na baby dady wake
Wiz Khalifa, sababu ambazo zimekuwa zikitajwa kuwa chanzo ni kuwa wawili
hao walisalitiana na kupelekea ndoa yao iliyodumu kwa mwaka mmoja
kufika ukingoni.

Amber Rose ameamua kuweka mambo sawa upande wake kwa kujitetea kuwa hakuwahi kumsaliti mumewe.
“Please stop with the fake stories. I would never ever ever cheat on my husband in a million years I think u guys know this…..” alitweet.

Post a Comment