Jason Derulo na mpenzi wake Jordin Sparks nao wadaiwa kuachana

Mdudu wa kuvunja mahusiano ya mastaa anaendelea kusambaa, sasa ni zamu ya wanamuziki Jason Derulo na Jordin Sparks ambao nao wadaiwa kuachana, vyanzo mbalimbali vimeithibitishia E-News!
derulo and sparks
Couple hiyo imekuwa kwenye mahusiano toka 2012.
Inadaiwa kuwa wawili hao wameachana vizuri na bado wataendelea kuwa marafiki wazuri

Post a Comment

Previous Post Next Post