Meneja
Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin
Wambali (kulia) akimpatia kipeperushi chenye maelezo ya huduma
zitolewazo na benki ya Exim mmoja kati ya wahandisi alipotembelea banda
la benki hiyo wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka
iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kulia ni Meneja Msaidizi
Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki hiyo, Bw. Joseph Lema na Bw.
Thobius Samwel (watatu kulia) ambaye pia ni Meneja Msaidizi Biashara
Kubwa na Uwekezaji wa benki hiyo.
Meneja
Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw.
Joseph Lema (Katikati) akizungumza na baadhi ya wahandisi kuhusu huduma
zitolewazo na benki ya Exim walipotembelea banda la benki hiyo wakati wa
Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka iliyoambatana na maonyesho
ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki. Kulia ni Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki hiyo, Bw.
Justin Wambali na Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji Thobius
Samwel (watatu kulia).
Meneja
Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw.
Thobius Samwel (watatu kulia) akizungumza na baadhi ya wahandisi kuhusu
huduma zitolewazo na benki ya Exim walipotembelea banda la benki hiyo
wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka iliyoambatana na
maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki
hiyo, Bw. Justin Wambali na Meneja Msaidizi Biashara Kubwa na Uwekezaji
Joseph Lema (Katikati). Picha na mpiga picha wetu.
Meneja Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania, Bw.
Justin Wambali (kulia) akizungumza na Mhandisi Fedson Tella (kushoto)
kuhusu huduma zitolewazo na benki ya Exim alipotembelea banda la benki
hiyo wakati wa Siku ya Wahandisi inayoadhimishwa kila mwaka
iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na mpiga picha wetu.
إرسال تعليق