Meneja
wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher
Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na
Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa
nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na
shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi
mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na
ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.

Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo.

Washiriki wa semina hiyo wakijisomea majarida waliyogawiwa kwenye semina hiyo.


Meneja
wa Mfuko Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopherse
Mapunda akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo, kutoka kushoto ni Bona
Masenge Afisa Sanaa BASATA, Frora Mgonja Afisa Utawala BASATA na
Deogratius Nchimbi Afisa Sheria BASATA wakishiriki katika semina hiyo.

Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo.

Baadhi ya wasanii wakiandika mambo muhimu yaliyokuwa yakijadiliwa katika semina hiyo.

Mashairi
aliyeng’ara na Kundi la Wagosi wa Kaya, Fred Maliki ‘Mkoloni’akichangia
mada wakwati alipokuwa akiuliza swali katika semina hiyo

Baadhi ya wanamuziki wa muziki wa dansi wakiwa katika semina hiyo.

Mwimbaji wa muziki wa taarabu Siza Mazongela alikuwa ni mmoja wa wasanii walioshiriki katika semina hiyo.

Mmoja wa washiriki wa sanaa ya filamu akiuliza swali.

Baadhi ya maofisa kutoka mfuko wa LAPF ambao nao walitoa mada katika semina hiyo.


Super Nyamwela mnenguaji mahiri kutoka bendi ya Exta Bongo kulia akiwa katika semina hiyo na washiriki wengine.

إرسال تعليق