Familia ya Kardashian imebarikiwa kuwa na wasichana warembo ambao kila siku wapo kwenye headlines.
Kendall Jenner, mdogo wake na Kim Kardashian
Ukianzia Kim, Kourtney na Khloé Kardashian na sasa Kendall na Kyle
Jenner ambao ni watoto wa baba mwingine, Bruce Jenner. Kendall alizaliwa
November 3, 1995 lakini sasa tayari amekuwa na umaarufu mkubwa katika
ulimwengu wa fashion.
Pamoja na kuonekana kwenye show yao ya ‘Keeping Up with the
Kardashians’, Kendall amewahi kuonekana kwenye show za televisheni
ambapo mwaka 2012 aliigiza kwenye episode moja ya Hawaii Five-0. Yeye
na dada yake, Kylie wana kampuni yao ya nguo iitwayo “Kendall &
Kylie. Kwa sasa Kendall amekuwa akishiriki kwenye show kubwa za fashion
duniani ikiwemo Paris Fashion Week inayoendelea.
Ona picha zaidi hapa.
إرسال تعليق